ads

Breaking News

Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?

bba
Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua wiki iliyopita na kupelekea uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika Jumapili iliyopita (September 7) kuahirishwa.

taarifa hiyo ambayo bado haijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa facebook wa ‘Big Brother Africa Hot Shots’.
inadaiwa kuwa kuna uwezekano Big Brother Hot Shots ikatumia nyumba inayotumiwa na Big Brother ya Uingereza, ‘Celebrity Big Brother UK’ (CCB UK), ambayo fainali yake inafanyika kesho Ijumaa (September 12). Hivi ndivyo taarifa hiyo ilivyoandikwa katika ukurasa wa faceboojk wa ‘Big Brother africa hot shots
BB UK


No comments