ads

Breaking News

Banana Zorro amshirikisha Young Killer kwenye single mpya ‘Samehe Sahau’, aanza kushoot video na AJ

Banana
Banana Zorro leo ameanza kushoot video ya single yake mpya anayotarajia kuiachia wiki mbili zijazo, inayotayarishwa na mwongozaji Adam Juma wa Next Level.  
“Dully Sykes ndio ame produce hiyo nyimbo, Dully akaniambia itakuwa poa kama ukifanya na new blood kama Young Killer nini itakuwa vizuri zaidi, nikamcontact Young Killer…

No comments