ads

Breaking News

AY kuachia collabo nyingine ya kimataifa aliyowashirikisha Ms Triniti na Lamyia wa Marekani

AY


Ambwene Yessaya aka AY anatarajia kuachia ngoma mpya hivi karibuni, lakin this time anawashirikisha wasaanii wa kimataifa ,,its going down ndio jina la nyimbo mabayo atawashirikisha miss trinity pamoja na lamyia wa marekani, kama unakumbuka hii sio mara ya kwanza kwa ay kufanta collabo na wasanii hawa , mwaka 2010 alifanya na miss trinity kwenye nyimbo ya 'good boy' na lamyia ni kwenye nyimbo ya 'speak with your body'
wimbO umeandaliwa na producer wa kimataifa riley chini ya management ya network show biz ya marekani ambayo pia inamsimamia  AY

Wasanii wengine ambao wako chini ya Network Showbiz ni pamoja na Triniti, Lamyia, Alpha Rwirangira, Halima Namakula na Racheal.K.

No comments