ads

Breaking News

Unataka kufanya video na Godfather? Ni lazima upite kwa AY, ni wakala wake Afrika Mashariki

Kama wewe ni msanii na ungependa kufanya video na Godfather kuna mtu mmoja Tanzania ambaye huwezi kumkwepa – ni Ambwene Yesaya aka AY.
926569_1457488691204165_749843811_n

Rapper huyo wa ‘Asante’ ni wakala wa muongozaji huyo mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini. “Ukitaka kufanya video na Godfather atakuambia ‘nenda kamlipe AY’, ni kwasababu mimi na Godfather tumeingia deal pamoja,” AY amesema “Huwezi kufanya video na Godfather ni lazima utapita kwangu.”
AY amesema kuwa si wasanii wa Tanzania peke yake bali ni Afrika Mashariki nzima.

No comments