ads

Breaking News

TAJIRI WA SAUDI ATIKISA LONDON NA RANGE ROVER YA DHAHABU YENYE PLATE NUMBER ‘666’


666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou Thēriou’ lakini kwa tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo zinazosomeka kama plate number ya gari yake ya kifahari aina ya Range Rover.

article-2715538-203E1C2E00000578-157_634x437

Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, Uingereza kuishangaa baada ya kuiona ikiwa na mtalii huyo akila mitaa ya London kwakuwa ni gari ya dhahabu!!
article-2715538-203E1C0B00000578-85_634x372
Gari hiyo ina thamani ya £150,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za Tanzania. Range Rover mpya na ya kawaida huuzwa kwa bei ya wala u £100,000.

No comments