ads

Breaking News

New Video: Nicki Minaj aachia rasmi video ya ‘Anaconda’

Screen Shot 2014-08-20 at 9.14.21 AM 

Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj ni staa aliezaliwa miaka 31 iliyopita kutoka kwa mama mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae Carol na Baba Robert Maraj, mwenye sifa ya utumiaji dawa za kulevya na aliewahi kutaka kumuua Mama Minaj kwa kutishia kuchoma moto nyumba yao.
Nicki ni staa kutoka kwenye familia ya kawaida tu kiuwezo lakini muziki wake umebadilisha maisha yake na ya familia ambapo kwenye mfululizo wa kuzitoa nyimbo zake, anatukutanisha na hii video yake mpya.

No comments