ads

Breaking News

Kanye na Kim waonesha mahaba mazito ndani ya lift, ni muongozo kwa Jay Z na Beyonce?

Video: Kanye na Kim waonesha mahaba mazito ndani ya lift, ni muongozo kwa Jay Z na Beyonce?


Neno ‘elevator’ au lift liliandikwa sana baada  ya Jay Z
kupigwa vibao na Solange kisa kutaka kufanya michepuko na kushindwa
kumuonesha Beyonce mapenzi ya dhati.
Hii imekuwa tofauti kwa Kanye West na Kim Kardashian ambao waliamua
kuoneshana mahaba ndani ya lift na hawakusubiri tendo lao hilo
kuvujishwa kupitia video kama ugonvi wa wenzao, wao wamejipiga selfie na
kupost mapema.Huu ni kama muongozo kwa mr&Mrs. Carter kuwa ile ingeweza kuwa sehemu ya kuonesha mapenzi na sio kupigana.

Familia ya Kanye West inadaiwa kuwa na kinyongo hasa baada ya familia ya Jay Z kuikacha ndoa yao na kuishia kuwatumia ujumbe tu.Jay Z na Beyonce wanadaiwa kuwa katika mgogoro mzito huku ikidaiwa kuwa wanampango wa kutalakiana baada ya On The Run Tou

No comments