ads

Breaking News

Imethibitishwa Kuwa Ciara Na Future Wameachana Na Sio Wapenzi Tena.

0813-future-ciara-2

Kama nilivyoripoti awali kuwa Msanii Future ni miongoni mwa wasanii wenye watoto wengi na wanawake tofauti duniani, sasa imefahamiaka kuwa Future na Ciara wameachana na sio wapenzi tena. Vyanzo vya habari vingi Marekani na nchi zingine vimethibitisha taarifa hizi na kuwa wapenzi hawa wamefuta kabisa ile sherehe yao ya kuvalishana pete iliyokuwa imepangwa kufanyika kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Radio ya Power 106 na Jarida Us Weekly wamethibitisha habari hizi na kuweka wazi kuwa miezi mitatu baada ya kupata mtoto wao wa kwanza ‘Baby Future Zahir’ Ciara na Future wameachana na Ciara analea mtoto wake tu.
Baada ya Ciara kutoa tamko hili,Future hajasema lolote mpaka sasa.
Ciara 2

No comments