ads

Breaking News

Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA Marekani kupitia ‘Mdogo mdogo’, anachuana na Davido, Awilo Longomba na Bracket

Irawma

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa nchini Marekani, ambapo safari hii wimbo wake wa ‘Mdogo mdogo’ wenye miezi miwili tangu utoke umemuwezesha kuingia kwenye tuzo za IRAWMA(IRAWMA International Reggae and World Music Awards)


tuzo

No comments