ads

Breaking News

Chris Brown akoswa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ndani ya Club.

3
Chris Brown alikuwa host wa pre party ya VMA Awards ndani ya 10AK club huko Hollywood. Kilichotokea kwenye hiyo party ni kupigwa risasi watu watatu na kukimbizwa hospitali akiwemo music producer Suge Knight.
1 
Suge Knight
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kwamba risasi hizo zilikuwa na lengo la kupiga Chris Brown japokuwa Chris ameondoka akiwa salama kabisa.
Baada ya fujo hizo kutokea Chris Brown ali-tweet hivi
2
VMA Awards zinafanyika leo 24/8/2014 na Nicki Minaj anategemewa ku-perform wimbo wake wa Anaconda.
4

No comments