ads

Breaking News

50 Cent kuchangia $750,000 kama Mayweather ataweza kusoma ukurasa mmoja wa 'Harry Potter'

50 Cent amekuja kivingine katika challenge ya kuchangia matibabu na elimu kuhusu ALS kwa kumtaka bondia Floyd Mayweather kusoma kwa sauti bila kusita ukurasa mmoja tu ya riwaya ya Harry Potter.
Rapper huyo amepost katika ukurasa wake wa Facebok kipande cha video akieleza challenge yake kwa Floyd akidai endapo ataweza basi yeye atachangia kiasi cha $750,000 kwenda katika taasisi itakayopendekezwa na bondia huyo.
“This is a special ASL-ELS challenge for you, Floyd! If you can read one full page of a Harry Potter book, I'll give $750,000 to whatever charitable organization you want to.” ALisema kabla ya kurusha mbali ndoo ya barafu. “F**k the bucket of ice, man.”
Baadae aliandika caption kwenye video hiyo akitaka kumfafanulia bondia huyo kinachotakiwa.
“Floyd will you except my ALS/ESL CHALLENGE: I will donate $750k to a charity of your choice, If you can read a full page out of a Harry Potter book out loud without starting and stopping or f**king up. lmao.

No comments