ads

Breaking News

Dini Ya Kanye West Na Jinsi Ya Kujiunga.(the end)(doom days)

yeezusRapper Kanye West ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kujifunza na kugundua au kubuni mambo mapya kila siku ili kuonekana tofauti, kama unakumbuka mwaka jana alitangaza mpango wake wa kuanzisha dini yake na mpaka kupelekea kuipa album yake Jina Yeezus ambalo ni mchanganyiko wa Ye na Jesus.
Dini ya rapper na producer huyu itaitwa Yeezianity na wanaotaka kujiunga nayo wameshapewa nafasi ya kutembelea mtandao wa waumini wa dini hii ambao ni Yeezianity.com Na waumini hawa watakuwa wanatumia na kuvaa sanamu linalofanana na sura ya Kanye West ambaye ndio mwanzilishi wa dini hii.
Ukitaka kujiunga Unatakiwa kupiga picha umeshika karatasi iliyoandikwa ‘I Beleive In Yeezus’ ikionyesha sura yako na watumie kwenye Email Yao.
yz 3yknyz 7

No comments