ads

Breaking News

the kik off .. Mdogo Mdogo video by Diamond platnumz

Hii ni picha ya kutoka kwenye video  shooting ya wimbo mpya wa Diamond “mdogomdogo”. Kwenye exclusive interview na Diamond alisema “Anamategemeo makubwa na wimbo wake “Mdogo mdogo” na ni miondoko aliyotaka kufanya kwa muda mrefu tu.