ads

Breaking News

PICHA ZA AJALI ILIYOTOKEA LEO..TUNAOMABA RADHI PICHA ZINATISHA SANA


Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.

No comments