ads

Breaking News

Pale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji kwenye red carpet


Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria.
Screen Shot 2014-06-30 at 4.10.38 AM
Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae alielezea ni jinsi gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET 2014,

No comments