ads

Breaking News

Joseph Olita, from Classic movie ya Idd Amin Dada afariki dunia

Muigizaji aliyeigiza kama Idi Amini katika movie ya Rise and Fall of Idd Amini JOSEPH OLITA amefariki dunia baada ya kuwa akisumbiliwa na shinikizo la damu ambapo alizidiwa na kufariki jun 1.


                                   Joseph olita, alivyo-act kwenye Role ya Idd Amin Dada

No comments