ads

Breaking News

Blue Mountain Music ina-face Lawsuit kutokana na 'no woman no cry' hit by Bob Marley


 Cayman Music ni kampuni ambayo ilikua inamiliki nyimbo za Bob  Marley na kuuza umiliki huo kwa kampuni ya Blue Mountain Music mwaka 1992, lakini kuna baadhi ya nyimbo hazikua included kama wimbo wa ‘’ No Woman No Cry’’. Sasa basi baada ya kuona kampuni hiyo ya  Blue  Mountain Music inapiga mtonyo mwingi basi jamaa wameanza kudai fidia kwa nyimbo ambazo hazikua included wakati wa mauzo, ishu ilifika mpaka mahakamani lakini jamaa wamefeli kurejeshewa  hatimiliki   ya  nyimbo hizo.

No comments