ads

Breaking News

Beyonce na Will Smith watakua ndani ya movie moja – Hancock 2


hankokWale waliowahi kuona Hancock ya kwanza ni superhero movie ambayo ilifanya vizuri sana na baada ya miaka 6 sasa wanakuja na story nyingine ya movie hiyo.
Taarifa zinazotoka ni kwamba Beyonce naye atakuwa star wa movie hii pamoja na Will Smith japokuwa bado taarifa rasmi hazijatoka.

No comments